Kazi
-
Kazi ni nini?
Ni shughuli yoyote ambayo mtu anaifanya, mfano kulima, kuimba, kusoma, n. k.
I’ll mtu yeyote a endelee kiuchumi lazima Afanye kazi, nipo sasa aweze kustawi kijamii, (familia mpaka ukoo) . Hata nchini yoyote iliyoendelea kiuchumi lazima wanamsimamo mzuri katika kazi mmoja mmoja mpaka nchi nzima na hawapendi mtu asiyefanya kazi. Ukiangalia nchi kama China, Japan, marekani, Korea na nchi kadha ulaya.
Sijasema afrika kwamba hatufanyi kazi tunafanya Ila Kuna kitu tumepungukiwa ‘ubunifu, uvumbuzi, katika kutumia mlighafi’ tulizonazo ndio maana tumegeuka soko la weupe.
UVUMBUZI NA UBUNIFU
Hapa ni kuangalia vitu gani vinahitajika duniani na vitengenezweje na kwa kutumia nini?The blog I need help with is: (visible only to logged in users)
-
- The topic ‘Kazi’ is closed to new replies.